Isura ye 14
Muupale upendoni tamaniya muno karama ya rohoni, zaidi muno mpate kutoa unabii. Mana ywembe ywalongela kwa lugha ubaya kwaa ni bandu ila ubaya ni Nnongo. Mana ntopo ywalewa kwa sababu alongela makowe yayowanika kwaa katika Roho. Lakini ywembe atoae unabii abaya ni bandu ni kuwachenga, kubatia mwoyo, ni kubafariji. Ywembe ywalongela kwa lugha uichenga mwene, lakini ywembe ywatoa unabii kulichenga likanisa. Nambeambe natamaniya panga mwenga mwabote mulongele kwa lugha. Lakini zaidi ya ago, natamaniya panga mtoe unabii. Ywembe ywatoa unabii ni nkolo kuliko ywembe ywalongela kwa lugha(labda abe ni watafsiri), ili panga likanisa lipate chengwa. Lakini nambeambe, ainja na alombo bango, niisile kwinu ni longela kwa lugha, nalowa afaidia namani mwenga? Niweza kwaa, ila nabaya ni mwenga kwa ndela ya ufunuo, au kwa ndela ya maarifa, au unabii, au kwa ndela ya lifundisho. Mana itei ilebe ya ibile kwaa ni ukoto kati filimbi au kinubi paitoa kwaa lilobe lyabile ni tofauti, iyowa tambulikana namani ni chombo gani chakiweza? Kwa mana manaitei libaragumu lyatitoa lilobe lyange yowanika, ni jinsi gani mundu atanga ya kuwa ni muda wa kujiandaa ni vita? Nga nyonyonyo ni mwenga. Mana mwalowa toa mu'lulimi neno lyalibile kwa dhahiri, ni jinsi gani mundu alowa elewa chaalongela? Mwalowa longela, ni ntopo ywaabayowine. 10 Ntopo shaka panga kwabile lugha zanyansima mbalembale mu'dunia, ni ntopo hata yimo yaibile kwaa ni maana. 11 Lakini mana itei nitangite kwaa mana ya lugha, nalowa pangika na mgeni kwa ywembe ywalongela, ni ywembe ywalongela alowa pangika mgeni kwango. 12 Nga nyonyonyo ni mwenga. Kwa kuwa mwatamaniya muno kubona udhihirisho wa Roho, mupale kwamba mzidi muno kulichenga likanisa. 13 Nga ywembe ywalongela kwa lugha ni alobe apewe tafsiri. 14 Kwa mana mana nilobite kwa lugha, roho yango uloba, lakini malango gango gabile kwaa ni matunda. 15 Nipange namani? Nalowa loba kwa Roho yango, lakini pia nalowa loba kwa malango gango. Nalowa imba kwa roho yango, nalowa imba kwa malango gango kae. 16 Vinginevyo, ukimsifu Nnongo kwa roho, ywembe abile mgeni alowa itika namani “Amina” mana utoa shukrani, mana itei ugatangite kwaa gaugabaya? 17 Mana ni kweli wenga washukuru vema, lakini yolo ywenge achengilwe kwaa. 18 Namshukuru Nnongo kwa kuwa nilongela kwa lugha zaidi ya mwenga mwabote. 19 Lakini katika likanisa ni heri nalongela maneno matano kwa malango gango ili nipate kubapundisha benge, zaidi ya longela maneno komi elfu. 20 Ainja ni alombo bango, kana mube bana achunu longela kwinu. Badala yake, husiana na ubou, mube kati bana bachunu. Lakini katika kuwasa kwinu mube bandu akolo. 21 Iandikilwe katika saliya, “Kwa bandu ba lugha yenge ni kwa mikano ya bageni nilongela ni bandu haba. Wala hata nyoo alowa niyowa kwaa,” Abaya Ngwana. 22 Nga nyo, lulimi ni ishara, kwa baliaminiya kwaa, ila kwa baaminiya kwaa. Lakini kutoa unabii nga ishara, kwa baaminiya kwaa, ila kwa ajili yabe baaminiya. 23 Aga, mana itei likanisa lyote limekusanyika pamope ni bote anene kwa lugha, ni bageni na baaminiya kwaa batijingya, Je baweza kwaa baya panga mwabile ni uchizi? 24-25 Lakini mana itei mwabote mwatoa unabii na ywaaminiya kwaa au mgeni ajingya, alowa shawishiwa ni yolo ywayowa. Atahukumilwa na yote ya gabayite. Siri za mwoyo wake zatifunuliwa. Matokeo gake, alowa tomboka kifudifudi ni kumwabudu Nnongo. Alowa kiri ya panga Nnongo yu kati yinu. 26 Chanamani kifuatacho bai, ainja na alombo bango? Mana mukengamite pamope, kila yumo abile ni Zaburi, mapundisho, mafunuo, lugha au tafsiri. Mupange kila kilebe ili kwamba muichenge likanisa. 27 Kati yeyote ywalongela kwa lugha, bawe abele au atatu, na kila yumo katika zamu. Ni mundu lazima atafasiri chakibayilwe. 28 Lakini kati ntopo mundu wa tafsiri, ila kila yumo wabe atame kimya nkati ya likanisa. Bai kila yumo alongele kichake ni kwa Nnongo. 29 Na manabii abele au atatu anene, ni wenge baasikilize kwa kupambanua chalongelwa. 30 Lakini ywa tama akipunuliwa likowe katika huduma, yolo ambae abile alongela ni anyamaze. 31 Kwa kuwa kila yumo winu aweza kutoa unabii yumo badala ya ywenge ili kwamba kila yumo aweze kuipunza ni bote baweze kutiwa mwoyo. 32 Kwa kuwa roho ya manabii yabile pae ya uangalizi wa manabii. 33 Kwa kuwa Nnongo ni Nnongo kwaa wa machafuko, ila wa amani. Kati yaibile katika makanisa yote ya baumini. 34 Ipalikwa alwawa batame kimya katika likanisa. Kwa kuwa baruhusiwa kwaa longela. Badala yake, ipalikwa kuwa katika unyenyekevu, kati saliya yailongela. 35 Kati kwabile ni chochote balowa tamaniya kuipunza, bai babanaluye analome babe ku'nyumba. Kwa kuwa ni aibu kwa alwawa longela mu'likanisa. 36 Je neno lya Nnongo liboka kwinu? Je latiafikia mwenga kae? 37 Kati mundu ywailolekeya kupangika nabii au ba rohoni, impalika agatange makowe yaniyandikia ya panga ni maagizo ga Ngwana. 38 Lakini ayowanika kwaa aga, munneke kana abatambwe. 39 Nga nyo bai, ainja ni alombo bango, mupale muno kutoa unabii, na kana mubazuie mundu yoyote longela kwa lugha. 40 Lakini makowe gote gapangilwe kwa uzuri ni kwa utaratibu.