Isura ye 5
Tutangite panga kati maskani ga ulimwengu ambayo twatama umo yaharibika, tubile ni lijengo boka kwa Nnongo. Ni nyumba ichengwite kwa maboko ya bandu, ila ni nyumba yangayomoka, katika maunde. Kwa kuwa katika lihema lee twaugua twatamaniya kuvikwa kwa maskani yitu kumaunde. Twatamaniya kwa ajili ya yee kwa sababu kwa kuiwala twalowa bonekana kwaa kuwa tubile ntopo ngobo. Kwa hakiaka muda tubile nkati ya hema lee, twaugua mana tukilemewa. Tupala kwaa kuvuliwa. Badala yake, twapala kuwalishwa, ili panga chelo chawaa ili kiweze mezwa ni ukoto. Yolo ywatuandaa twenga kwa kilebe chelo ni Nnongo, ambaye ywatupeile twenga Roho kati ahadi ya chelo chalowa isa. Kwa eyo mube ni ujasiri masoba gote. Mube minyo panga wakati tubile munyumba katika yega, tubile kutalu na Ngwana. Kwa kuwa twatyanga kwa imani, kwa lolekea kwaa. Kwa eyo tubile ni ujasiri. Ni bora tube kutalu mu'yega ni nyumba pamope ni Ngwana. Kwa eyo twaipanga kuwa lengo letu, mana tukiwa mu'nyumba au kutalu, tumpendeze ywembe. 10 Kwa kuwa lazima bote tubonekane nnongi ya iteo cha hukumu cha Kristo, ili panga kila yumo aweze pokya chelo chastahili kwa makowe gapangika katika yega, mana itei ni kwa uzuri au kwa ubaya. 11 Kwa eyo, kwa kuitanga hofu ya Ngwana, twaashawishi bandu. Mana yatubile, ibonekana wazi ni Nnongo. Nendatumainiya kuwa itangike pia mu'dhamiri yinu. 12 Twajaribu kwaa kuashawishi mwenga kae kutubona twenga kati wa kweli. Badala yake, twaapeya mwenga sababu ya kuipunia kwa ajili yitu, ili panga muweze kuwa na jibu kwa balo baipunia kuhusu ya ibonekana lakini ibile kwaa chabile nkati ya mwoyo. 13 Kwa kuwa mana itei tumerukwa na malango, ni kwa ajili ya Nnongo. Na kati tubile mu'akili yitu timamu, ni kwa ajili yinu. 14 Kwa mana upendo wa Kristo watushurutisha, kwa sababu tubile na uhakika ni lee: kuwa mundu yumo atiwaa kwa ajili ya bote, na kwa eyo bote batiwaa. 15 Na Kristo atiwaa kwa ajili ya bote, ili panga bale batama batame kwaa kae kwa ajili yabe bene. Badala yake, lazima utama kwa ajili yake ywembe ambaye atiwaa ni fufuliwa. 16 Kwa sababu yee, kuanzia nambeambe ni kuyendelea tumuhukumu kwaa mundu lingana na viwango vya bandu, ingawa hapo kwanza twatimlola Kristo katika namna yee. Lakini nambeambe twamuhukumu kwaa yeyote kwa namna yee kae. 17 Kwa eyo, mana itei mundu yoyote abile nkati ya Kristo, ywembe ni kiumbe chaayambe. Makowe ya kale yatipeta. Linga, gabile gaayambe. 18 Ilebe yote yee yatiboka kwa Nnongo. Ywatupanisha twenga kwake mwene pitya Kristo, na atupile huduma ya upatanisho. 19 Nga nyoo ni baya, katika Kristo, Nnongo atiupatanisha ulimwengu kwake mwene, bila balangana makosa gabe dhidi yabe. Atiwekeza kwitu ujumbe wa upatanisho. 20 Kwa nyoo twasauliwa kati bawakilishi ba Kristo, kati panga Nnongo abile apanga rufaa yake pitya twenga. Twaaloba mwenga kwa ajili ya Kristo: “Mpatanishwe kwa Nnongo!” 21 Ampangite Kristo kuwa sadaka kwa ajili ya sambi yitu. Ywembe nga ambaye apangite kwaa sambi. Apangite nyoo ili tuweze kupangika haki ya Nnongo katika ywembe.