Isura ye 2
Manabii ba ubocho walowa bokanga kwa Baisraeli, na balimu wa uongo walowa isa kae kwinu. Kwa siri balowa kuapeya mapundisho ga ubocho nabo walowa kunkengama Ngwana ywaabapemeya. Wajiletya uharibifu ba haraka nnani yabe bene. Bingi wapala ndela yabe ya oni na pitya bembe waikufuru ndela ya ukweli. Kwa uchoyo walowa kubanyonya bandu pitya maneno ga ubocho. Hukumu yabe ichelewa kwaa, uharibifu walowa kubakengama. Maana Nnongo abaleka kwaa malaika balo batikengeuka. Ila abatombwile kuzimu ili batabilwe ni minyororo mpaka hukumu paiisile nnani yabe. Wala Nnongo ativumiliya kwaa ulimwengu wa kunchogo. Ila, atimuhifadhi Nuhu, ywabile ni wito wa haki, pamope ni benge saba, muda wailekite garika nnani ya ulimwengu wabaasi. Nnongo atiihukumu miji ya Sodoma na Gomora kiasi cha kupangika majivu na uharibifu ili ibe mpwano kwa ajili ya baovu katika masoba gaisa. Lakini paapangite lee, atinlopwa Lutu mundu ywa haki ywabile atihuzinishwa na tabia chafu za bakengamite kwaa sheria ya Nnongo. Kwa mana yolo mundu wa haki, ywatama nabo masoba gatiitesa nafsi yake kwa ajili ya yalo yaagayowine na kugabona. Kwa eyo Ngwana atangite jinsi ya kubalopwa bandu bake wakati wa mateso na namna ya kubavumilia baovu kwa ajili ya hukumu katika lisoba lya mwisho. 10 Hakika woo nga ukweli kwa balo bayendelya tama katika tamaa ya yega yee na kugadharau mamlaka. Bandu ba jinsi yee babile ni ujasiri katika dhamiri yabe. Batiyogopa kwaa kubakufuru atukufu. 11 Ingawa malaika babile ni uwezo na ngupu kuliko bandu, lakini baweza kwaa letya hukumu dhidi yabe kwa Ngwana. 12 Lakini aba banyama babile kwaa na akili batichengwa kwa asili ya kukamwa na kuangamizwa. 13 Baumizwa kwa ujira ba mabou gabe. Mutwekati wote utama kwa anasa. Batijaa ubou na maovu. Upuraikia anasa za ubocho batisherehekea ni wenga. 14 Minyo gabe yatipunikwa na umalaya; batosheka kwaa panga sambi. Ubalaghai na kubatombwa baumini achunu katika sambi. Babile na mioyo yatijaa tamaa, ni bana balaanilwe. 15 Bailekite ndela ya ukweli. Batitomboka na kuikengama ndela ya Balaam mwana wa Beori, ywapenda kupata malipo ga udhalimu. 16 Lakini ywakanikiwa kwa ajili ya ukosaji wake. Mbonda ywabile bubu alongela kwa lilobe lya bandu, atiukenga uchizi ba nabii. 17 Bandu aba ni kati chemichemi ibile kwaa na mase. Ni kati maunde galowa tolwa ni mbepo. Liunde zito lyatihifadhiwa kwa ajili yabe. 18 Ulongela kwa majipuno matupu. Ubatombwa bandu kwa tamaa ya yega. Ubalaghai bandu bajaribia kutila babo batama katika ukosaji. 19 Ubaahidi bandu uhuru muda wabe bene ni amanda ba sambi ya ufisadi. Mana mundu upangwa kuba mmanda wa chelo chamtawala. 20 Ywembe ywajiepushae ni uchafu ba ulimwengu kwa kutumia maarifa ga Ngwana na mkochopoli Yesu Kristo, na boka po atikerebukia uchapu woo kae, hali yake upangika inoite kwaa kuliko yelo ya mwanzo. 21 Inoite bandu kati abo baitangite kwaa ndela ya haki kuliko kuitanga na boka po kuzileka kae amri takatifu zabapeilwe. 22 Mithali yee huwa na ukweli kwabe.”mapwa ukulebukiya matapishi gabe. Ngobe ywatioshwa ukerebuka kae mu'matope.