9 Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yosefu, wanawe na jamaa zake, | 12 |
Ya pili ikamwangukia Gedalia, yeye na wanawe pamoja na jamaa zake, | 12 |
10 Ya tatu ikamwangukia Zakuri, wanawe na jamaa zake, | 12 |
11 ya nne ikamwangukia Isri,* // wanawe na jamaa zake, | 12 |
12 ya tano ikamwangukia Nethania, wanawe na jamaa zake, | 12 |
13 ya sita ikamwangukia Bukia, wanawe na jamaa zake, | 12 |
14 ya saba ikamwangukia Yesarela,† // wanawe na jamaa zake, | 12 |
15 ya nane ikamwangukia Yeshaya, wanawe na jamaa zake, | 12 |
16 ya tisa ikamwangukia Matania, wanawe na jamaa zake, | 12 |
17 ya kumi ikamwangukia Shimei, wanawe na jamaa zake, | 12 |
18 ya kumi na moja ikamwangukia Azareli,‡ // wanawe na jamaa zake, | 12 |
19 ya kumi na mbili ikamwangukia Hashabia, wanawe na jamaa zake, | 12 |
20 ya kumi na tatu ikamwangukia Shubaeli, wanawe na jamaa zake, | 12 |
21 ya kumi na nne ikamwangukia Matithia, wanawe na jamaa zake, | 12 |
22 ya kumi na tano ikamwangukia Yeremothi, wanawe na jamaa zake, | 12 |
23 Ya kumi na sita ikamwangukia Hanania, wanawe na jamaa zake, | 12 |
24 ya kumi na saba ikamwangukia Yoshbekasha, wanawe na jamaa zake, | 12 |
25 ya kumi na nane ikamwangukia Hanani, wanawe na jamaa zake, | 12 |
26 ya kumi na tisa ikamwangukia Malothi, wanawe na jamaa zake, | 12 |
27 ya ishirini ikamwangukia Eliatha, wanawe na jamaa zake, | 12 |
28 ya ishirini na moja ikamwangukia Hothiri, wanawe na jamaa zake, | 12 |
29 ya ishirini na mbili ikamwangukia Gidalti, wanawe na jamaa zake, | 12 |
30 ya ishirini na tatu ikamwangukia Mahaziothi, wanawe na jamaa zake, | 12 |
31 ya ishirini na nne ikamwangukia Romamti-Ezeri, wanawe na jamaa zake, | 12. |